Naomba kujuzwa haya kuhusu BBA UDSM

Vicin

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
676
295
Habari za asubuhi.

Nimemaliza diploma ya sheria nikaomba vyuo vitatu, ila nimechaguliwa UDSM peke yake BBA. Naomba mtu aliyesoma BBA UDSM ama yeyote mwenye uelewa kuhusu hii course anisaidie mawazo na ushauri maana siifahamu kuhusu ajira zake na kama nitaweza kujiajiri kwa kutumia BBA.

Na je, naweza kuhama kutoka BBA kwenda LLB? Nina upper second class.
Na je! Nitaweza kupata mkopo. Maana BBA ya UDSM ni evening class pekee.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Duh... Hamna wanajua, au ndio mnapambana na selection zenu?
 
Back
Top Bottom