nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,120
- 1,828
Whaaaaaaatmakabe ninapoishi mimi hakuna lami,sijajua upande mwingine.Lodge na nyumba za kupanga zipo nyingi tu.Karibu
huo ndo wasifu mkubwa wa makabe. ndo nyumbani kwetu hakuna namna 🤣makabe ninapoishi mimi hakuna lami,sijajua upande mwingine.Lodge na nyumba za kupanga zipo nyingi tu.Karibu
😂😂 Kweli kabisa mkuu,Mabonde poromokahuo ndo wasifu mkubwa wa makabe. ndo nyumbani kwetu hakuna namna 🤣
ndio hivyoWhaaaaaaat
tumezoea na daladala zetu mbovu ukitoka nymbani lazima uwe na maji lita moja ukifika mbezi tu unanawa vzr unajiweka soap soap kwa kwenda town sasa 🤣 🤣😂😂 Kweli kabisa mkuu,Mabonde poromoka
Mkuu usitoe siri sasa,unataka mgeni aogope kuja kuwekeza?tumezoea na daladala zetu mbovu ukitoka nymbani lazima uwe na maji lita moja ukifika mbezi tu unanawa vzr unajiweka soap soap kwa kwenda town sasa 🤣 🤣
asije sema hatuku mwambie sisi wana JF wastaarabu sana hatupendag lawamaMkuu usitoe siri sasa,unataka mgeni aogope kuja kuwekeza?
Sawa sawaasije sema hatuku mwambie sisi wana JF wastaarabu sana hatupendag lawama
changamoto kubwa ni kipato lakini hakuna nyumba nzuri kama zinazojengwa kwenye miinuko yani wenzetu hizi ndio mahali wanapenda kabisaShida kubwa ya Mbezi ni aina ya maeneo yalivyo maana 90% kuna milima na mabonde. Bora upate eneo lililo kwenye mwinuko ukipata eneo lililo kwenye bonde aiseee na nyumba zinavozidi kujengwa lazima itakuja kuondoka na maji. Kibaya zaidi watu wanapozidi kukata majaji hata udongo wake mbovu sana unapasuka pasuka. .
Ujenzi maeneo ya mbezi ni wa gharama na aina yake ndo maana unaona nyumba nyingi zinawekwa matoleo ya maji kuepusha zisibomoke mapema. Pamoja na hayo yote kwa mtazamo wangu Mbezi Makabe ni kama nyuma ya mgongo. Watu wengi hata wakiwa wanaoga huwa wanajisahau kuosha mgongo. Kuna shida ya maji bado sana, usafiri wa shida halafu kuna zile gari zilizopigwa marufuku mjini zinaitwa vipanya, wakati wa mvua hakuridhishi sana, na neno makabe lilitokana na mkabe kulikuwa na wezi balaa. .
Shida kubwa ya Mbezi hakuna vituo vya kutosha vya polisi hivyo majambazi walikuwa wanapita nyumba mpaka nyumba yani wanakaba mtaa mzima na hakuna polisi. .
Hizi zote zipo Mbezi Makabe, ndiyo majambazi walikuwa wanakaba mtaa mzima.changamoto kubwa ni kipato lakini hakuna nyumba nzuri kama zinazojengwa kwenye miinuko yani wenzetu hizi ndio mahali wanapenda kabisa
View attachment 1635693View attachment 1635694View attachment 1635695View attachment 1635696View attachment 1635697
hapana mkuu nilimjibu jamaa anasema tatizo la mbezi kuna milimandio nikamwambia hakuna nyumba nzuri kama zinazojengwa kwenye milima, anyway ukitoka ubongo kuelekea chalinze hakuna eneo la tambalale moja kwa moja eneo kubwa ni mabonde na miinukoHizi zote zipo Mbezi Makabe, ndiyo majambazi walikuwa wanakaba mtaa mzima.
Everyday is Saturday.............................. 😎
Ujenzi wa kwenye miinuko ni wa gharama sana, na ule udongo wa mfinyanzi, kiukweli hii nchi watu ni matajiri...ukijenga nyumba 1 ni sawa na Njombe ukijenga nyumba 3. Tunakomaa tu na jiji!hapana mkuu nilimjibu jamaa anasema tatizo la mbezi kuna milimandio nikamwambia hakuna nyumba nzuri kama zinazojengwa kwenye milima, anyway ukitoka ubongo kuelekea chalinze hakuna eneo la tambalale moja kwa moja eneo kubwa ni mabonde na miinuko