naomba kujuzwa faida za kuBACKUP COMPUTER..msaada tafadhari

naomba kujuzwa faida za kuBACKUP COMPUTER..msaada tafadhari

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4,380
Reaction score
2,855
Natamani laptop yangu iwe updated kwa mambo mengi..i start to learn more and more things concerning computer programs..but unfortunately napatwa na kigugumizi kwa hii BACKUP..siijui thats why i can't take action..naomba mnipe ufahamu huo...BIG UP TO ALL OF YOU...EXPECT MUCH..
 
Kitu muhimu sana kwenye pc/laptop/simu in data zako, zikipotea hautaweza zipata

kama hukufanya Backup
 
Kwa maelezo mepesi
Mfano umeweka data zako muhimu kwenye PC yako. Kisha kwa bahati mbaya virus wanaingia kwenye mashine yako na kutafuna mafile yako na ukiwa ukufanya backup hapo utakuwa umepoteza data zote. Ila kufanya backup maana yake kwa wepesi ni KUIFADHI DATA SEHEMU ZAIDI YA MOJA ili mfano kama umefanya backup(umeifadhi) ya data zako zilizopo kwenye pc yako kwenye kifaa kingine(umeifadhi kwenye kifaa kingine) eg cd au flash disc ,maana yake virus wakila file(dats) za kwenye pc yako bado utazipata kwenye cd na fladh disc.
Kifupi backup ni lazima kwa data zako muhimu kama za ofisini na ambazo hupatikanaji wake ni mgumu/unasumbua.
Nadhani nitakuwa nimekupa mwanga kidogo kwa kataaluma kangu kadogo.

PIA UWA HATU-BACKUP COMPUTER BALI TUNA BACKUP DATA ZILIZOPO KWENYE COMPUTER.
 
kuepuka hasara za kutoku-backup..,
kupoteza data zako pindi pc yako iki-corrupt, utashindwa ku-recover kile ambacho haukiki-backup
 
Back
Top Bottom