Naomba kujuzwa dawa ya Gauti

Naomba kujuzwa dawa ya Gauti

Mkuu limao na tangawiz nichanganye? Je limao nisage na ujani ukiwiti wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa mbegu za limao kwani zinaongeza uchungu, kata limao vipande vipande, tangawizi kiasi cha kidole gumba, weka kwenye blender sanga na maganda yake. Ongeza maji ya moto glass 2. Kunywa ikiwa ya moto mara 2 kwa kutwa.

Kama nilivyosema punguza unene/ kitambi kwani huko ndiko tatizo huanzia, manake pia acha pombe hasa bia, na nyama, kula au kunywa kidogo sana.

Pia kila siku kunywa maji mengi; glass 2 asubuh, 2 kabla ya lunch, 2 saa 10, 2 saa 1 kabla ya dinner.
 
Pamoja na ushauri wa kitabibu hapo juu:

Naweza kukuambia jambo moja na utakubaliana nami: you are a little overweight, right?

Basi ukitaka kuondokana na gout for good punguza uzito wako..

Mimi juzi nilienda hospital nikaambiwa nina gout lakini mimi sina uzito mkubwa, yaani nina urefu wa cm 182 kwa uzito wa kilo 69 na pia sinywi wala sijawahi kunywa pombe na ni mtu portabo tu hii imekaaje?
 
1. Drink plenty of water before you go to bed.
2. Avoid red meat
3. Thank me later
 
Back
Top Bottom