Tafuta mtu/kampuni wanao funga CCTV wakufundishe, unakuwa kibarua wa kujitolea . Ukiona nyumba ina CCTV camera kuna namba za simuNatafuta chuo kinachofundisha ufungaji wa cctv cameras na mambo mengine yanayoshabihiana.Mwenye kujua tafadhali naomba msaada.Kuna sku niliskia kwenye radio wanatangaza bahat mbaya sikujua ni radio ipi coz nilikua napita mtaani.
Ahsante sana Mkuu.Mungu akubariki.Cheti kwangu sio muhimu sana nachotaka ni ujuzi tu au unamaanisha cheti unapata ila hujaondoka na kitu kichwan?wapo sinza sehem gani?kilimanjaro institute of technology...wapo sinza....Wanatoa hilo darasa...ila vyuo vya mitaani hivi vyeti vyake bwana huwa ni magumashi sana
Unaomba kufanya kazi kwa kujitoleaWanaofunga mara nyng hawatak kutoa ujuzi,sijui kwa nn.Nilishajaribu sehem 2 imeshindikana.
Hivi router inawekwa wapihakuna kitu rahisi kama kufunga CCTV. Ni mwendo wa kuchomeka nyaya tuu. kama unaweza unga Deki, Decoder na tv yako ukswasha ukaangalia basi CCTV utaweza either iwe DVR na analogy camera au NVR na PoE IP camera
inawezekaana ikawa rahis,lkn km hujawah kufanya sio rahis namna hyo.Ni km kukata nyanya inaweza onekana rahis lkn ukizubaa unajikata.hakuna kitu rahisi kama kufunga CCTV. Ni mwendo wa kuchomeka nyaya tuu. kama unaweza unga Deki, Decoder na tv yako ukswasha ukaangalia basi CCTV utaweza either iwe DVR na analogy camera au NVR na PoE IP camera
na kama unajua kutengeneza antenna ni simple tuhakuna kitu rahisi kama kufunga CCTV. Ni mwendo wa kuchomeka nyaya tuu. kama unaweza unga Deki, Decoder na tv yako ukswasha ukaangalia basi CCTV utaweza either iwe DVR na analogy camera au NVR na PoE IP camera
Hivi router inawekwa wapi
Kazi huwa hazitokei mara kwa mara. Unatakiwa kuwa mvumilivu wakati unajitolea, fanya kila kazi wanazo kupa hata kama sio za CCTV, afu huwezi kufundishwa tu kama darasani. Una gain mwenyewe wakati mnafanya kazi. Kwa ufupi kazi ya kufunga CCTV haihitaji nguvu nyingi, inahitaji kufikilia sana, kama zilivyo shughuli nyingi za IT.sio kwa kujitolea tu,niliwaambia had kuwalipa wakagoma,ss nifanyeje apo.
Hapana, sio NVR pekee ndo utatumia router, hata DVR unaweza kutumia Router. Utaweza kuangalia ulipofunga Camera zako kupitia simu na kuona kinachoendelea, ukiwa popote ndani na nje ya nchi. Simu utaiwekea App itakayowasiliana na NVR au DVR yako kupitia Router. Lazima simu iwe na bado lenye spidi nzuri na Router iwe na bando pia.hii inatumika kwenye NVR. Yaani network video recorder. hii ni kama unataka kuona matukio ukiwa mbali au kama kunq camera ipo mbali unatakq isave video sehemu nyingine. So inaungwa na NVR
Kama cheti sio muhimu kwako zama you tube utajifunza mambo kibao bila kupata chetiAhsante sana Mkuu.Mungu akubariki.Cheti kwangu sio muhimu sana nachotaka ni ujuzi tu au unamaanisha cheti unapata ila hujaondoka na kitu kichwan?wapo sinza sehem gani?