Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

kyemo

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
571
1,000
Natafuta chuo kinachofundisha ufungaji wa cctv cameras na mambo mengine yanayoshabihiana.Mwenye kujua tafadhali naomba msaada.Kuna sku niliskia kwenye radio wanatangaza bahat mbaya sikujua ni radio ipi coz nilikua napita mtaani.
 

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
1,185
2,000
Natafuta chuo kinachofundisha ufungaji wa cctv cameras na mambo mengine yanayoshabihiana.Mwenye kujua tafadhali naomba msaada.Kuna sku niliskia kwenye radio wanatangaza bahat mbaya sikujua ni radio ipi coz nilikua napita mtaani.
Tafuta mtu/kampuni wanao funga CCTV wakufundishe, unakuwa kibarua wa kujitolea . Ukiona nyumba ina CCTV camera kuna namba za simu
 

Frank Hood

Senior Member
Oct 15, 2021
102
250
hakuna kitu rahisi kama kufunga CCTV. Ni mwendo wa kuchomeka nyaya tuu. kama unaweza unga Deki, Decoder na tv yako ukswasha ukaangalia basi CCTV utaweza either iwe DVR na analogy camera au NVR na PoE IP camera
inawezekaana ikawa rahis,lkn km hujawah kufanya sio rahis namna hyo.Ni km kukata nyanya inaweza onekana rahis lkn ukizubaa unajikata.
 

ematec

Member
Oct 1, 2018
7
45
sio kwa kujitolea tu,niliwaambia had kuwalipa wakagoma,ss nifanyeje apo.
Kazi huwa hazitokei mara kwa mara. Unatakiwa kuwa mvumilivu wakati unajitolea, fanya kila kazi wanazo kupa hata kama sio za CCTV, afu huwezi kufundishwa tu kama darasani. Una gain mwenyewe wakati mnafanya kazi. Kwa ufupi kazi ya kufunga CCTV haihitaji nguvu nyingi, inahitaji kufikilia sana, kama zilivyo shughuli nyingi za IT.

Huenda hao unaowafuata wapo jirani na makazi yako. Wanaogopa kutoa ujuzi, afu ukishaelewa ujitenge nao uondoke na baadhi ya wateja wao. Tafuta Makampuni ambayo yapo mikoani.
 

ematec

Member
Oct 1, 2018
7
45
hii inatumika kwenye NVR. Yaani network video recorder. hii ni kama unataka kuona matukio ukiwa mbali au kama kunq camera ipo mbali unatakq isave video sehemu nyingine. So inaungwa na NVR
Hapana, sio NVR pekee ndo utatumia router, hata DVR unaweza kutumia Router. Utaweza kuangalia ulipofunga Camera zako kupitia simu na kuona kinachoendelea, ukiwa popote ndani na nje ya nchi. Simu utaiwekea App itakayowasiliana na NVR au DVR yako kupitia Router. Lazima simu iwe na bado lenye spidi nzuri na Router iwe na bando pia.
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
13,159
2,000
Ahsante sana Mkuu.Mungu akubariki.Cheti kwangu sio muhimu sana nachotaka ni ujuzi tu au unamaanisha cheti unapata ila hujaondoka na kitu kichwan?wapo sinza sehem gani?
Kama cheti sio muhimu kwako zama you tube utajifunza mambo kibao bila kupata cheti
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom