Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
10,730
22,062
Habari wakuu,

Naomba kujua bei ya kipimo cha VVU kile cha kujipima mwenyewe, sijui kisayansi kinaitwaje nadhani wajuvi mtakuwa mmenielewa.

Na je kinahitajika hicho tu au kuna viambata vingine. Nikipata maelekezo jinsi ya kukitumia nitashukuru sana.

Natanguliza shukrani.
 
Kwa hiyo bei inaonekana wale malay* wa telegram wanaijumuisha kwny bei ya k
 
Kwa hiyo bei inaonekana wale malay* wa telegram wanaijumuisha kwny bei ya k
 
Mi kuna jamaa ananiuziaga kwa bei ya jumla vipo 25 na maji yake pamoja na vilr visindano elfu 50 kama upo Arusha naweza kukuunganisha nae. Mimi nanunua hivyo naweka gheto.
 
Back
Top Bottom