Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Habari zenu wakuu,
Naomba kufahamishwa bei ya gunia ya mkaa. Nahitaji kama mbili hivi.
Kama kuna mtu anauza anicheki.
Naomba kufahamishwa bei ya gunia ya mkaa. Nahitaji kama mbili hivi.
Kama kuna mtu anauza anicheki.