Habarini za mda huu wadau wana sport wenzangu, naombeni uliza eti kuna apps ya kutabiri matokeo ya mpira yani , TIPS BETTING PREDECTION nimesikia kwamba kuna iyo apps ndio maana nime leta hii mada kwenu ili kupata uhakika ndugu zangu kama ipo inaitwaje wadau msaada PLZ
Sent using
Jamii Forums mobile app