naomba kujulishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba kujulishwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sugi, Sep 24, 2012.

 1. s

  sugi JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  jamani kwa mtu yeyote mwenye taarifa ya sakata la walimu kupitia CWT na serikali,wamefikia wapi?je serikali imezungumza chochote?maana hata hawa CWT wapo kiiimya,nadhani kuna haja ya walimu kujifunza kutoka kwa majirani zetu wa kenya,Walimu wa tanzania mjifunze na mjitambue huu si wakati wa kuwa waoga wakati hali ya maisha ni ngumu na haki zenu zimekaliwa tu,mkiungana na kuwa na umoja mnaweza kufanya mambo makubwa kama ya walimu wa keanya au hata kuwazidi
   
Loading...