Bonface William
Member
- Jun 18, 2013
- 17
- 2
jamani wakuu naomba kuuliza kama sio kujua, nimekua katika wakati mguuumu sana kwani kunamaneno watu husema kwamba mwanamke mwembamba huwa haridhiki na mwanaume mfupi, na kwaupande wangu me naamini kua wanaume wote ni sawa kwamba alichonacho mwanaume mrefu ndo alichokuanacho mwanaume mfupi au mnene au mwembamba je?ukweli uko wapi, ikiwa kuna wanawake wafupi na wnene hawaridhiki hata ungewafanya nini???? lakini wao husifika kwamba tabia zao ni nzuri, sasa jamani nishike lipi niache lipi maana katika utafiti wang na kujaribu kuongea na watu mbalimbali cjapata majibu ya kujitosheleza na ndomna leo nimeamua kuweka mambo hazarani ili nipate kujifunza kwa undani zaidi na zaidi..............