Leo katika Star TV, nimemsikia na kumwona Mrisho Mpoto akisema kuwa uchumi wa marekani unategemea wasanii na usanii kwa asilimia 50%!!!!!!!!!!!!!!!!!!JAMANI HII NI SAWA, THIS IS QUITE NEW NEWS TO ME

Anaota yule. Marekani wana far way big & successful investments all over the globe ??..ningekua ww ningebadili channel hapo hapo !! #hahahaha ndezi kweli.