Naomba kujua

Naomba kujua

andebhezyo

New Member
Joined
Apr 10, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa
 
Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa

Kwani tangazo la kuitwa kuchukua barua ya ajira huko Dodoma linasemaje? Si huwa wanatoa muda wa kuchukua barua na nini cha kufanya/kitatokea kama hujaenda kuchukua ndani ya huo muda?

Rejea tangazo la wito wa kuchukua barua.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom