Naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Hilux na Nissan Hardbody

Thelionden

Senior Member
Apr 7, 2018
119
225
Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale, Naomba kupata ufafanuzi kidogo kati ya gari hizo tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo:

1. Uimara wake rough road
2. Upatikanaji wa vipuri
3. Kuhimili safari ndefu kuanzia km 1500
4. Comfortability kwenye rami na rough roads
5. Service

Naomba kuwasilisha wakuu kwa kujipa elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,094
2,000
Sina experience na hardbody, lakini ninatumia hilux engine 2kd cc 2400. Tangu niinunue sijawahi kubadilisha spare part yoyote. Ni service tu na nnaweka genuine oils and filters.

Every after 5000 kms. kwa kweli mimi sina lalamiko juu ya hii gari mpaka wa leo.. long safari ina perform vizuri, fourwheel kwenye matope pia sijawahi kukwama. So huo ndo ushahidi wangu broo
 
Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
3,384
2,000
Toyota Hilux is the best hasa upate D4D Turbo Diesel with Manual transmission.

Sema bei zake zimechangamka kidogo
 
Thelionden

Senior Member
Apr 7, 2018
119
225
Mkuu hii uliagiza au ilikuwa tayari imetumika kwetu hapa, ila nami mapenzi na moyo wangu uko kwa hii machine d4d.
Sina experience na hardbody, lakini ninatumia hilux engine 2kd cc 2400. Tangu niinunue sijawahi kubadilisha spare part yoyote. Ni service tu na nnaweka genuine oils and filters. Every after 5000 kms.. kwa kweli mimi sina lalamiko juu ya hii gari mpaka wa leo.. long safari ina perform vizuri, fourwheel kwenye matope pia sijawahi kukwama.. soo huo ndo ushahidi wangu broo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
536
250
Nipo na uzoefu na gari zote na gari zote ni nzuri.. just zote upate manual and ziwe diesel..

Hardbody seat ya nyuma imebanwa na unakaa kama upo kwa sedan.. ukipata version za UK is the best, version zilizotengenezwa SA ni kama cheaper option sio nzuri sanaaahhhhh...

Hilux ipo juu juu hata seat ndani na nafasi ya kutosha.. version ya Uk or thailand au Japan nzuri na ina tairi kubwa option ya SA vitairi vidogo ipo annoying kimtindo

Ila all in all both are tough cars, best fuel economy , zina power sanah na nzuri off road na lami..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thelionden

Senior Member
Apr 7, 2018
119
225
Nimekupata sana mkuu wa hizi machine

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,013
2,000
Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale, Naomba kupata ufafanuzi kidogo kati ya gari hizo tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo:

1. Uimara wake rough road
2. Upatikanaji wa vipuri
3. Kuhimili safari ndefu kuanzia km 1500
4. Comfortability kwenye rami na rough roads
5. Service

Naomba kuwasilisha wakuu kwa kujipa elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari zote ziko vzuri na Wadau wamekupa majibu mujarabu kabisa. Lkn cha kuzingatia hapo hizo Nissan tatizo kubwa linakuja kwenye Mfumo wake wa Mafuta yaani Nozzle na Pump zake zimekuwa mtihani sana zikianza kusumbua maana zinapatikana kwa bei juu.
Kwa Hilux Vigggo iko vizuri sana kuanzia Speed, fuel economy na uimara wa injini, tatizo tu ile gari haina Body yaani ni bati la Gauge 32 pale ALAF ndio naliona kwenye ile gari
 
Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
1,921

Fact....
Hizi Hilux za sasa ni nzuri sana sehwmu walipokosea ni body....nyepesi sana....hazivumilii sana dhoruba za mapori ukilinganisha na HARDBODY NP 300..

Lakini both are great vehicles....ni suala la kuangalia mfuko na moyo wa mtu unapenda ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
clonazepam

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
238
250
Kwa speed,comfartability zaidi ukiwa ndani,spea za bei rahisi chukua Hilux.
Kwa ugumu,mikiki mikiki ya pori,kubeba mizigo,milimani,spea bei juu kidogo ila ukifunga umefunga chukua Hard body.

Nilikua kwenye Ngo flani ya wazungu,walizileta zikiwa 0km kabisa.route na kazi zilikua milimani,porini,zikiwa na mizigo nyuma ya maana,shuluba zakutosha.
Leo hii zikiwekwa hapa unaweza Hilux ilinunuliwa mwaka 90 jinsi ilivyosanda,gharama za maintenance tangu zilinunuliwe hilux anaongoza!
Hilux mayai mayai tu
 
Thelionden

Senior Member
Apr 7, 2018
119
225
bati la gauge ngapi mkuu? Hii rough roads haitufai hii.
Gari zote ziko vzuri na Wadau wamekupa majibu mujarabu kabisa. Lkn cha kuzingatia hapo hizo Nissan tatizo kubwa linakuja kwenye Mfumo wake wa Mafuta yaani Nozzle na Pump zake zimekuwa mtihani sana zikianza kusumbua maana zinapatikana kwa bei juu.
Kwa Hilux Vigggo iko vizuri sana kuanzia Speed, fuel economy na uimara wa injini, tatizo tu ile gari haina Body yaani ni bati la Gauge 32 pale ALAF ndio naliona kwenye ile gari
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thelionden

Senior Member
Apr 7, 2018
119
225
Nimekupata chief ila hilux ile ya zamani 3l iko vzr kidogo kwenye toughness.
Kwa speed,comfartability zaidi ukiwa ndani,spea za bei rahisi chukua Hilux.
Kwa ugumu,mikiki mikiki ya pori,kubeba mizigo,milimani,spea bei juu kidogo ila ukifunga umefunga chukua Hard body.

Nilikua kwenye Ngo flani ya wazungu,walizileta zikiwa 0km kabisa.route na kazi zilikua milimani,porini,zikiwa na mizigo nyuma ya maana,shuluba zakutosha.
Leo hii zikiwekwa hapa unaweza Hilux ilinunuliwa mwaka 90 jinsi ilivyosanda,gharama za maintenance tangu zilinunuliwe hilux anaongoza!
Hilux mayai mayai tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom