Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Corsa na Nissan Tilda

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
500
420
Habari wadau,

Poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Naombeni kikuzwa kuhusu magari haya. Hasa uimara, upatikanaji wa vipuri, utumiaji wa mafuta n.k

1. Toyota Corsa

2. Nissan Tiida.

Nitashukuru sana
 
Hiyo toyofa corsa kuna profesa mmoja wa SUA anayo.kuna siku nikawa napiga nae story nikamuuliza uimaea wake na ulaji wa wese,aliisifia kuwa ipo vizuri.
Kwa toyotaambazo ni sedan nakushauri chukua Carina au premio.
 
Lakini umeisifia.Au una reservations.
 
Back
Top Bottom