Naomba kujua tofauti ya Toyota Pick Up na Nissan Pick Up

Through my experience, u will never go wrong, Toyota Hilux sc its the best, hasa model za 2006 up to 2013 ni ngumu mno na rahisi kuzihudumia na pia soko lake ni zuri ukiamua kuuza, na nyingi Zina 2.5L engine yake ,pia hizi latest model ambazo nyingi ni 2.4L nazo ni safi mno na zipo zaidi luxurious na bila shaka Zina speed (ingawa sio kigezo kikubwa)safety muhimu zaidi
 
Umeilizwa kingine na wewe unajibu kingine.

Aliyesema wabongo hatujui kuelekeza mtu alikuwa sahihi.
 
Wewe ndio mwenye upumbavu, mtoa hoja anaulizia pick up gani bora kati ya toyota na Nissan, na mimi nimemshauri Toyota hilux sc(hii ni pick up )au nimekuchanganya na lugha hapo, kama ulikua ni mjinga basi jifunze kama una upumbavu can't help
 
Kama Huna Hela Za Kutosha Stay Away From Nissan. Vipuri Sio Siri Bei ni karibia au mara Mbili ya Vipuri vya Toyota.

Mfano; clutch cylinder ya Juu Mimi nanua 25k-50k Kwa Gari yangu ya Toyota. Full Set.

Gari hyo hyo Nissan kifaa hcho hcho ni 130k na Vingine Vingi.

Kwahyo Ukichukua Nissan, Uwe na Mfuko Mzuri.

Kuna kuhusu Off-road Survival ya Toyota Iko Juu. Nimekumia Off-road Aisee Acha Kabisa. Fain Belt ilikatika Porini. Siku Mbili ikaagizwa Bongo. Ikapigwa Chap.

Nissan Ilukuja Ku Knock. Iliniangisha kwenye Mradi.

Kiukweli naziepuka Sana Nissan.

Toyota is the Best.
 
Kama Huna Hela Za Kutosha Stay Away From Nissan. Vipuri Sio Siri Bei ni karibia au mara Mbili ya Vipuri vya Toyota.

Mfano; clutch cylinder ya Juu Mimi nanua 25k-50k Kwa Gari yangu ya Toyota. Full Set.

Gari hyo hyo Nissan kifaa hcho hcho ni 130k na Vingine Vingi.

Kwahyo Ukichukua Nissan, Uwe na Mfuko Mzuri.

Kuna kuhusu Off-road Survival ya Toyota Iko Juu. Nimekumia Off-road Aisee Acha Kabisa. Fain Belt ilikatika Porini. Siku Mbili ikaagizwa Bongo. Ikapigwa Chap.

Nissan Ilukuja Ku Knock. Iliniangisha kwenye Mrandi.

Kiukweli naziepuka Sana Nissan.

Toyota is the Best.
umesomeka
 
Back
Top Bottom