Nimekupata chief ila hilux ile ya zamani 3l iko vzr kidogo kwenye toughness.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza hapa na mie...
Hilux Double Cabin 2.8l inaweza funga engine gani ukitaka kufanya modification? Nilishatumia 2.8L na 3L engines... kwa sababu engine zote hizo zimekufa ninawaza kupata engine nyingine tough, fuel economy na yenye mwendo...ushauri plz....ninunue engine ipi??