Naomba Kujua Vyuo vya Mapishi ambavyo ni Recommended

Naomba Kujua Vyuo vya Mapishi ambavyo ni Recommended

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Wakuu Habari,

Naomba kujuzwa vyuo (vinavyotambulika na serikali) ambavyo vinafundisha mapishi ya nchi mbalimbali na pia vinatoa nafasi ya kwenda field.
Kuna dada yangu anahitaji kwenda kusomea(kamaliza Kidato cha 4).

Asante.
 
Back
Top Bottom