saimon rusana
Member
- Mar 15, 2024
- 7
- 16
habari za jioni ndugu zangu,
Katika hekaheka zangu za kutafuta mke wa kuoa nimejikuta nimeangukia kwa mtoto wa kimanyema. sasa nina hitaji kujua utaratibu kuhusu kishika uchumba na mahali najua humu kuna kila aina ya kabila la hapa Tanzania.