Ricco maya
New Member
- Oct 1, 2020
- 2
- 0
Habarini wanajamii samahani nilikuwa naomba kujua kazi, umuhimu, faida na hasara za NSSF?
Twendeni na Lissu. Mnyika alikomaa na fao la kujitoa 2013/4 lakini wakazidiwa na maccm sheria ikapita.Yaliyo andikwa kwenye vitabu vyao na yanayofanyika ni tofaut sana,, mie ningapata wabunge wa kuondoa ujinga wa mafao ningewapongeza sana , salary ilitakiwa ikaywe PAYE basi