Naomba kujua ukweli wa hili tangazo...

Jimmy George

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,733
1,648
Habari za asubuhi wana-JF
Kuna tangazo nimelipata kuhusu kuapply kazi ya ualimu mtandaoni je lina ukweli wowote ?

TANGAZO LENYEWE HILI
P.O.BOX 1923 Dodoma - Tanzania. Tel: 026 232 2848. Fax: Email: ps@tamisemi .go.tz. Website: www.tamisemi.go.tz.
Online Teachers Employment Application System-OTEAS
www.osaistz.com
ONLINE TEACHERS EMPLOYMENT APPLICATION SYSTEM,THIS IS THE COMPUTER SYSTEM FOR MONITORING ...

*Muhimu*
Ajira za ualimu kwa sasa ni za kuomba online, website hiyo hapo juu! wahusika changamkeni na wajulisheni ndugu na wengine ktk makundi mengine, muda ni mfupi sana uliotolewa,
 
Lingekuwa LA kweli basi ungekuwa umeshakosa ajira maana LA September 2016
 
Nimetafakari na kuona hili tangazo halina ukweli maana Ndalichako alisema wamebadili mfumo na akasema ni kutuma katika wizara ya elimu sasa hao wanataka utume kwenye website ambayo haifunguki siyo kweli na hata halina uthibitisho kutoka hapo TAMISEMI
 
KWA MSAADA TU, ukiona habari au tangazo cha kwanza angalia chanzo cha habari/source,kisha kile chanzo ukikipata mf.kama walivyosema hapo TAMISEMI out of forum go and find that info kutoka katika chanzo tajwa.Haina haja ya kutokwa na jasho,kwani usipokuwa makini katika dunia hii utaliwa sana.
Katika mitandao ya jamii wenye uwezo mdogo wa kufikiria au kwa tafsida WAVIVU wametapeliwa na watu wanaojifanya watumishi wa Mungu like T.B JOSHUA e.t.c
 
Umenena vyema uko sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom