Naomba kujua ubora wa simu za iPhone

cetterhutter

Senior Member
Sep 5, 2017
167
75
Nimevutiwa sana na simu za iPhone hasa iPhone 6+ ila sijawahi kuitumia nimekuja kwenu mliowahi kutumia mnijuze mamba machache
(a) naomba kujua kuhusu ukaaji wa chaji
(b) naomba kujua ubora wa camera
(c) naomba kujua kuhusu uingiza wa app kama vile. ITV, AZAM TV, JAMII FORMS NK .
karibuni sana ktk mjadala huu sat.
tapatalk_1536051134754.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i phone ni simu za watu wenye kipato kikubwa..

lakini kwa mtu ambaye jobless, nyumba umepanga, gari huna, biashara huna ya kueleweka.. kwa mwezi kipato chako less than a milioni..

achana na ma i phone.. tumia tecno hela zinazobaki wekeza.. wekeza na wekeza...

ni ushauri tu..

maana nakutana na mdada au mkaka ana i phone ya laki 7 au milioni ananiomba kazi au mchongo mdogo sana huwa nashangaa sana
 
Write your reply...hizo iphone ni mammbo ya prestige tu,kuna Tecno ziko vizuri
 
ukaaji wa chaji inategemea na matumizi yako lakini iPhone nyingi chaji haikai sana
ubora wa camera ni mzuri tu
Application za ITV, AZAM TV, JAMII FORMS NK . zinaingia bila shida yoyote na zinafanya kazi vizuri tu
kwa nijuavyo mimi kutokana na maswali yako
 
i phone ni simu za watu wenye kipato kikubwa..

lakini kwa mtu ambaye jobless, nyumba umepanga, gari huna, biashara huna ya kueleweka.. kwa mwezi kipato chako less than a milioni..

achana na ma i phone.. tumia tecno hela zinazobaki wekeza.. wekeza na wekeza...

ni ushauri tu..

maana nakutana na mdada au mkaka ana i phone ya laki 7 au milioni ananiomba kazi au mchongo mdogo sana huwa nashangaa sana
Kwahyo we ukishakuwa na gari na IPhone huwezi omba kazi au mchongo? Fikiri kwa Kutumia kichwa labda kama unaongelea kuomba bia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i phone ni simu za watu wenye kipato kikubwa..

lakini kwa mtu ambaye jobless, nyumba umepanga, gari huna, biashara huna ya kueleweka.. kwa mwezi kipato chako less than a milioni..

achana na ma i phone.. tumia tecno hela zinazobaki wekeza.. wekeza na wekeza...

ni ushauri tu..

maana nakutana na mdada au mkaka ana i phone ya laki 7 au milioni ananiomba kazi au mchongo mdogo sana huwa nashangaa sana

Una mentality za kishamba sana na kama una elimu basi elimu yako haijakutoa ujinga kichwani, kumiliki Iphone sio utajiri na kumiliki tecno sio umasikini. Ni mapenzi ya mtu kumiliki kile anachokitaka na atatafuta namna akipate.

Mfano, kuna Mzee mmoja anamiliki kampuni ya usafirishaji na ana zaidi ya malori 100 lakini anatumia boxer kwenda ofisini wakati nyumbani kapaki Ranger, Land Cruiserv8. Sio kwamba hataki kutumia hayo magari ni mapenzi yake kwenye kuendesha pikipiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom