Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting

Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D
,lensi 18-55mm
Megapix 24
Kwenye picha na video shooting
Ni cam nzuri lakini sio industry standard. Ukitaka uenjoy zaidi hio kamera yako, nunua lens nyingine.

Sijajua level yako, lkn kwa kuanzia chukua 50mm hi lens iko vizuri kwenye low light. Lkn hio 18-55mm haiko poa kwenye low light.

Kamera hio unaweza ukashutia video, lkn hio video ikichezwa kwenye media za traditional TV utaionea kinyaa. Lkn kama ni for youtube, your good to go.

Lkn mwisho wa siku is all about the content.
 
Back
Top Bottom