verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,783
- 5,645
Ngoja waje watujuze na hizi pia.
1. Thamani na Samani
2. Thibitisha na Sibitisha
Kwa mujibu wa TUKI, katika lugha ya Kiswahili tuna maneno kama; Thamani ikiwa na maana ya hadhi au kiwango/kiasi cha (Value).Wakuu kwema
Naomba mnisaidie kuchanganua tofauti za maneno haya tafadhali
1. Thamani na dhamani
2. Thibitisha na dhibitisha
Natanguliza shukrani
Cc: FaizaFoxy
Sawa mkuu kwa hivyo basi hatuna maneno hayaKwa mujibu wa TUKI katika lugha ya kiswahili tuna maneno kama; Thamani ikiwa na maana ya hadhi au kiwango/kiasi cha (Value).
2.Thibitisha,ikiwa maana yake ni: elezea ukweli juu ya kitu fulani.(Justify).
Hii Dhibitisha inaweza kuwa inatokana na neno "Dhibiti" yaani weka chini ya mamlaka, tia mkononi kwa kiingereza inaweza kuwa sawa na controlSawa mkuu kwa hivyo basi hatuna maneno haya
1. Dhamani?
2. Dhibitisha?
Hii Dhibitisha inaweza kuwa inatokana na neno "Dhibiti" yaani weka chini ya mamlaka, tia mkononi kwa kiingereza inaweza kuwa sawa na control
OK PTER unasema hapana kwa maana inawezekana unajua maana ya neno tafadhali tusaidie waswahili wenzio!Hapana
Thamani ndiyo neno sahihi la Kiswahili, hilo jingine siyo Kiswahili. Thamani maana yake ni hali ya hicho kitu ukikiweka kwenye kiwango cha PESA. Inaweza kuwa nyumba, shamba au hata wakati mwingine mtu au mnyama. Na thibitisha ndio neno la Kiswahili hilo jingine, dhibitisha siyo Kiswahili. Na thibitisha maana yake ni weka bayana, onesha ukweli auuhalali wa kitu aua neno au maelezo yoyote.Wakuu kwema
Naomba mnisaidie kuchanganua tofauti za maneno haya tafadhali
1. Thamani na dhamani
2. Thibitisha na dhibitisha
Natanguliza shukrani
Cc: FaizaFoxy
Wakuu kwema
Naomba mnisaidie kuchanganua tofauti za maneno haya tafadhali
1. Thamani na dhamani
2. Thibitisha na dhibitisha
Natanguliza shukrani
Cc: FaizaFoxy