Sawa sawaNinachokijua, Tanroad wanadeal na Barbara juu za kitaifa zinazounganisha mikoa na wilaya mbalombali, Tarura manadeal na barabara za mitaani katika miji na vijiji husika!
Hii sio kweli, Tanroad wana deal na Roads zinazo link mikoa, Nchi na wilaya ila tarura wana deals na barabara za kata, Tarafa na vijijiTANROADS Majukumu yao ni usimamizi, ukarabati na ujenzi wa barabara za mijini .
TARURA Majukumu yao ni usimamizi,ukarabati,na ujenzi wa barabara za vijijini. OVER
Mbona Kuna road za mitaani zinasimamiwa na TANROAD.TANROADS Majukumu yake ni usimamizi ,ukarabati na ujenzi wa barabara zinazounganisha
1.Nchi moja kwenda Nyingine
2.Mikoa miwili au zaidi
3.Wilaya mbili au zaidi.
TARURA Majukumu yake Ni usimamizi, ukarabati na ujenzi wa Barabara zinazounganisha
1.Tarafa mbili au zaidi
2.Kata mbili au zaidi
3. Vijiji viwili au zaidi
4.Mitaa mbalimbali maeneo ya mjini.
Hii hutokea kwa baadhi ya miradi,Mbona Kuna road za mitaani zinasimamiwa na TANROAD.
hili ndiyo jibuNinachokijua, Tanroad wanadeal na Barbara juu za kitaifa zinazounganisha mikoa na wilaya mbalombali, Tarura manadeal na barabara za mitaani katika miji na vijiji husika!
OkeyHii hutokea kwa baadhi ya miradi,
Maana katika mradi huwa Kuna msimamizi na mkandarasi, Kuna miradi hushindanisha wasimamizi (Consultants) wengi ili kupata msimamizi atakaekidhi vigezo vya usimamizi mfano ndani ya TANROADS Kuna kitengo Cha TECU kitengo hiki kinaweza kushida zabuni za usimamizi wa mradi wowote ule.
Usishangae hata bwawa la kufua umeme kule Rufiji pia linasimamiwa na TANROADS kupitia kitengo Chao Cha TECU.
Na kwa jiji kama Dar es Salaam ambako kuna Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) hao TARURA wanasimamia barabara zipi na DMDP barabara zipi?TANROADS Majukumu yake ni usimamizi ,ukarabati na ujenzi wa barabara zinazounganisha
1.Nchi moja kwenda Nyingine
2.Mikoa miwili au zaidi
3.Wilaya mbili au zaidi.
TARURA Majukumu yake Ni usimamizi, ukarabati na ujenzi wa Barabara zinazounganisha
1.Tarafa mbili au zaidi
2.Kata mbili au zaidi
3. Vijiji viwili au zaidi
4.Mitaa mbalimbali maeneo ya mjini.
DMDP Ni moja ya miradi ya mikakati inaboresha barabara za miji lakini zipo chini ya uangalizi wa TARURA. Kama sijakosea miradi hii inafadhiliwa World bank,hawa DMDP wakimaliza kujenga atakabidhiwa TARURA kuendeleza shughuli zingine Kama vile ukarabati na masuala ya parking.Na kwa jiji kama Dar es Salaam ambako kuna Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) hao TARURA wanasimamia barabara zipi na DMDP barabara zipi?
Your right ndioaamana kuna Barbara za vumbi tanroads wanadeal nazo!only to connect regions and districtNinachokijua, Tanroad wanadeal na Barbara juu za kitaifa zinazounganisha mikoa na wilaya mbalombali, Tarura manadeal na barabara za mitaani katika miji na vijiji husika!
Katika hizo mbili, Tarura na Tanroads moja wapo imepewa mandate ya kukusanya mapato ya ma bango, na biashara kwenye hifadhi za barabara. Tra haikusanyi tena hizo tozo. Nafkiri ni Tarura.Ukitaka kutumia hifadhi ya barabara kwa biashara inabidi uwalipe wote wawili kila mtu kivyake, hapo bado manispaa, tra na wengine
Ukitaka kutumia hifadhi ya barabara kwa biashara inabidi uwalipe wote wawili kila mtu kivyake, hapo bado manispaa, tra na wengl