Naomba kujua soko la ngano

Naomba kujua soko la ngano

migeye

Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
14
Reaction score
4
Kama kichwa kinavojieleza mimi n mkulima wa ngano kutoka njombe naomba msaada wa kujua wap nitauza ngano yangu na bei zake zpoje saiz
 
Kama kichwa kinavojieleza mimi n mkulima wa ngano kutoka njombe naomba msaada wa kujua wap nitauza ngano yangu na bei zake zpoje saiz
Uzalishaji na kiasi unachotaka kuuza ni tani ngapi kwa msimu mmoja.
 
Tupe bei pamoja na mawasiliano yako wadau tufanye tathmini..
 
Aisee binafsi siwezi mshauri mtu alime zao hili kibiashara.

Ni zao ambalo sio la kibiashara kimantiki, lina uzalishaji mkubwa sana ambao nafikiria ndio zao ambalo lina production kubwa kuliko mazao yote yanayolimwa na binadamu duniani

Zone uliyopo kwa nini usilime alfa alfa kwa ajili ya kulisha Sungura na ng'ombe wa maziwa? sababu najua sehemu inapostawi ngano Alfa alfa,hay vyote vinastawi vizuri mno
 
Back
Top Bottom