Naomba kujua sababu ya nywele kuwa nyekundu

Corluka Neven

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
300
276
Naomba kuuliza!

Ni nini kinachosababisha nywele kuwa nyekundu kibaiolojiya!!au kama ni ugonjwa ni ugonjwa gani?
 
Naomba kuuliza!!
Ni nini kinachosababisha nywele kuwa nyekundu kibaiolojiya!!au kama ni ugonjwa ni ugonjwa gani!!?
Tatizo ni kupungua Level ya MELANIN ambapo hizi pigment hutumika kumaintain rangi nyeusi ya nywele so kadiri Umri unavyosongaa ndio Zinavyozid kupungua hivyo nywelw kuqa nyekundu sio Ugonjwaaa lakini ni dalili kuwa Melanini zinapungua ndio maana NYWELE ZA MTOTO mchanga Nyeusiii tii na za Babu ni nyeupee peeeee.
 
Anha .ila kuna mtoto wa ndugu yangu hapa ana miaka 16 ni nyekundu
Tatizo ni kupungua Level ya MELANIN ambapo hizi pigment hutumika kumaintain rangi nyeusi ya nywele so kadiri Umri unavyosongaa ndio Zinavyozid kupungua hivyo nywelw kuqa nyekundu sio Ugonjwaaa lakini ni dalili kuwa Melanini zinapungua ndio maana NYWELE ZA MTOTO mchanga Nyeusiii tii na za Babu ni nyeupee peeeee...
 
Back
Top Bottom