Naomba kujua riba inayochajiwa na NMB Pesa fasta

Alejandroz

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
327
376
Habari,

Kichwa cha uzi cha husika,

Naomba kujua riba inayochajiwa na NMB Pesa fasta.

Natanguliza shukurani
 
Nimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..
Kwanini mkuu
 
Acha kutuenjoy boss
 
Nafanyeje nikope inaniambia sikidhi vigezo why please help
Kuna account ambazo ni maalum kwa ajili ya kupewa mikopo ya chap chap kama business na personal account wenye account zile za utegemezi kama mwanachuo account hawapo kwenye hii huduma labda mpaka uende kubadilisha kwenda kwenye personal account kama nlivyofanya mimi mwaka jana.

Mpaka now naweza kopa mpaka 1m kupitia transaction zangu nazofanya na jinsi ninavyorudisha
 
Back
Top Bottom