Habari wajf naamini hapa ni shemu sahihi kuna wasomi wa nyanja tofauti pia wapo waliosoma phisics hata watu wa kawaida tu. Kutokana na dunia kuhitaji zaidi utalaam nimeona watu wanatumia zaidi sayansi nikaona na nisiachwe nyuma kwenye nyanja hii. Mimi nafanya kazi ya usindikaji wa vyakula ili nisindike nimeshauriwa nitumie Acid yaani animal Oleic acid, vegetable Oleic acid, seatric Oleic acid je naweza kupata wapi hizi acid?. Na je kuhusu vigezo na masharti ya uunuaji vikoje . Nawasilisha
Sent from my Mi MIX 2S using JamiiForums mobile app
Sent from my Mi MIX 2S using JamiiForums mobile app