Msaada tutani, naomba kufahamu wapi naweza kupata magari ya kusafirisha mizigo

fatherhood

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
530
551
Ninahitaji kufahamu wapi naweza kupata gari malori, Fuso au Canter, nina mizigo yangu napeleka mkoani Shinyanga.

Naomba nisaidieni pia na za mikoa mingine Tanzania kama nahitaji kupeleka mizigo huko.

Kama naweza pata namba ya dereva na sehemu anayepatikana itapendeza zaidi.

Nichek 0683 238 052
 
Samahani mkuu mi nipo dar mkuu
Nilituma mzigo majuzi Kahama hawa jamaa wapo Kariakoo Mtaa wa Amani na Chui jaribu kuwasiliana nao kupitia hizo # kwenye receipt kama watakuwa na msaada kwenye issue yako lah imeshindikana wapo wengine nao wapo Kariakoo wanajiita Shylimo Transporter hawa ni uhakika mzigo unafika Shinyanga but mawasiliano yao sina.
IMG_20211109_172640.jpg
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom