Nitajulikana
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 328
- 355
Gwajima naye ni raisi??Uliza na ya Gwajima
Jibu mujarab!Gwajima naye ni raisi??
Ujue mkuu ifikie wakati tujirekebishe tuwe straight ameuliza ya raisi yeye anasema na ya GwajimaJibu mujarab!
kwani uwanja wake wa chato umekamilika
Ndege ipo. Na mheshimiwa anaitumia.Wapendwa habari za majukumu,
Naamini kila mtu atakuwa anajua kuwa serikali ya awamu ya NNE ilinunua ndege kwa ajili ya safari za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania almaarufu "Ndege ya Rais"
Sasa tokea serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani sijaona Rais akisafiri nayo safari na hasa zile za mbali.Sasa naomba kujua hiyo ndege iko wapi na inafanya kazi gani?!!!