Naomba kujua namna ya kuandaa Curriculum Vitae

kuna ujinga mwingine ni wa kujitahidi kuuficha sababu ungeweza kuingia hata googe uka 'search' sampuli za wasifu kisha ukazitumia kuandaa yako. clinical officer tuki ku upgrade si ndiyo una kuwa medical doctor au?
 
Asilimia 90 ya wanajukwaa Ni zero brain na Mimi nikiwemo hatujaweza kumjibu mtoa post alichokitaka zaidi ya kumkejeli tu...si kwamba hawezi kuandika CV au hajui Google anaweza pata madini alichotaka kupata Ni ubunifu wa watu tofautiyofauti ili apate cv Bora zaidi na ingekua msaada kwa walio wengi wanaojifanya wanajua, wanavyeti vyenye ufaulu mzuri lakini Hawana kazi kila wakiomba CHALI asijue kumbe CV ndio inamuangusha.
 
I normally use this CV format, applicable for entry level and mid level applicants in the job industry


Name: Bashite Kaya
Phone: +255 68X XXX XXX
Email: bashitekaya@gmail.com

OBJECTIVE (Optional)

PERSONAL DETAILS
•Date of birth and place: 08/08/2020, Kolomije, Tanzania
•Nationality: Tanzania
•Marital status: Single
•Language (verbal and written): English, Swahili


EDUCATION
•highest education level
.....
•lowest education level

WORK EXPERIENCE
•Recent work
.... internships, tempo's, projects, etc
•old work

SKILLS
•What are your skills that relates to the job you're applying

HOBBIES
• Optional, not necessary

REFEREES (optional)
•name: Bar Shite
•Positon/job: MD
•phone:
•Email:

at least three referees
 
Ukute wanaomcheka nao hawajui kitu

Ndio uzuri Wa kujificha nyuma ya keyboard

Sishangai tunaongoza kuchekana kutojua kuzungumza kizungu wakati anayecheka nae cheche tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom