Naomba kujua makaridio ya vifaa hivi

Naomba kujua makaridio ya vifaa hivi

Ndagafumuni

Member
Joined
Jul 26, 2018
Posts
7
Reaction score
5
Wakuu salama humu...
Mwenye uelewea na kuweza kunipa makadirio ya gharama ya vifaaa alivoandika fundi hapo anisaidie. Naomba roughly estimation.
Shukran[emoji120]
IMG_20191014_103610.JPG
 
Umoja wa mafundi Tanzania, chini ya katibu wetu "Fundi maiko" Tumekataa kuwa ma-snitch...

Bei aliyokupa fundi wako ndio hiyo hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu fundi maiko hajanipa makadirio yoyote..yeye kaandika vifaa tuu. So mimi nataka nijue gharama yaweza kuwa kiasi gani
 
Wakuu salama humu...
Mwenye uelewea na kuweza kunipa makadirio ya gharama ya vifaaa alivoandika fundi hapo anisaidie. Naomba roughly estimation.
Shukran[emoji120]View attachment 1232802
Mchanga Mende kubwa ni tsh 250,000 - 270,000 mpk site
Kokoto hua wanauza kwa viroba hivyo kwa ujenzi wako chukua 350, kiroba kimoja ni tsh 1000
 
Back
Top Bottom