Naomba kujua maduka ya vitabu vya computer dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua maduka ya vitabu vya computer dar

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by madera, Mar 2, 2011.

 1. m

  madera New Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa naomba kujua maduka ya vitabu vya computer
   
 2. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi natafuta hasa kwa wanaoanza diploma
   
 3. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi natafuta hasa kwa wanaoanza diploma
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Wakuu sijui kama nitakuwa nimesaidia ila kuna hii website ilikuwa introduced hapa jukwaani, ina vitabu vya masomo mbalimbali. Hata vitbu vya kuhusu Computers (IT) vipo pia.

  Download free ebooks at BookBooN.com

  Good luck.
   
 5. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,800
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  Nenda Shule ya uhuru kona ya Msimbazi na uhuru upande wa kulia kama unaelekea Mnazi mmoja duka kama la tatu hivi
   
 6. m

  madera New Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekwenda mkuu ila hamna wanavyo vichache
   
Loading...