Naomba kujua madhara ya kula kijidudu

ugalila

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
652
599
Habari za weekend wakuu.

Leo katka hali isiyokuwa ya kawaida nimemeza kijidudu na sijui nini madhara ya hiki kijidudu.

Naomba kujua je kama ni mbu aliyekula damu labda yenye HIV je siwezi kupata na mm??
Je kama ni wa malaria siwezi kupata hyo malari?

Je naweza kupata ugonjwa wowote ambao unasababishwa na kijidudu hicho ?

Sijatambua ni mdudu wa aina gani kaniingia mdomoni ila naona ngoma ngumu hapa.
 
Kama una upungufu wa kinga mwili utaugua.. kama mwili wako upo fiti upp salama..
 
Back
Top Bottom