Naomba kujua kuhusu ving'amuzi.

Naomba kujua kuhusu ving'amuzi.

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
378
Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.
 
Hii ungeiweka Jukwaa la Gadgets ungekutana na wachambuzi wa mambo haya hadi ungefurahi.
 
Back
Top Bottom