Naomba kujua kuhusu Screen Liquid Protector

mobakha

Member
Mar 7, 2014
97
95
Natumai ni wazima,

leo nakuja na swali nataka nijibiwe maana huku kwetu nimeona sana huduma hii nataka nitumie ila nasita kiukweli maana sijui ubora wake. Ni nini faida na hasara ya Liquid Screen Protector za simu?

Natanguliza shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,017
2,000
Kwanini asitumie?ingependeza zaidi Kama ungetufafanulia ili sote tuelewe madhara/faida yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Inasemekana inapasua kioo cha ndani cha simu.
Na ukiieweka umeweka huweza kuitoa; hata kama ukibahatika kioo cha ndani kisipopasuka, ikitokea fraction yoyote na unataka kubadili protector lazima kioo cha ndani kitapasuka tu.

Ni mfano wa kumwaga aina ya gundi kama super glue kwenye kioo.....kuna mawili, either kioo kipasuke au wakati wa kuitoa hiyo super glue iharibu kioo.

Nadhani umeelewa kiasi.
 
Ndio nimeelewa, shukran sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom