Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
Habari wana JF !!! Nahitaji kujua kuhusu mkoa wa Kilimanjaro hasa Wilaya ya Moshi kwa sababu ninatarajia kuhamia huko kikazi!! Nahitaji kujua hali ya maisha ya pale, fursa za kujiendeleza kiuchumi kupitia ujasiriamali, Tabia za wenyeji wa eneo husika, upatikanaje wa huduma mbalimbali za kijamii pamoja na mengineyo!!! Nahitaji kujua kwa sababu sijawahi kufika mkoa huo tangu nizaliwe, Nitashukuru kwa +ve responses