Naomba kujua kuhusu ili tangazo

Naomba kujua kuhusu ili tangazo

pockert money

Member
Joined
Mar 12, 2022
Posts
22
Reaction score
65
Mwenye uzoefu na ili tangazo au mtu ambaye alishafanikisha na yupo ofisini naomba kujua kazi kubwa ni nini japo tangazo linajieleza ila bado sielewi vizuri.ukiajiliwa kwenye izi halmashauri unakuwa mtendaji wa kijiji kivipi? Vipi kuhusu kada yako ulosomea.tangazo linataka NTA level 5 vipi kama una level 6 utaweka vyeti vyote? Na kama utaweka cha level 5 vipi kuhusu mshahara utalipwa wa level gani nawasilisha karibuni kwa comment.
Screenshot_20220322-190954.jpg
 
Back
Top Bottom