Naomba kujua kuhusu hili suala la passport

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,988
9,325
Natumai wote ni wazima kabisa , nimekuja mbele yenu kutaka kujua swala hili kuhusiana na passport.

Je, inawezekana kupata passport hata kama huna safari yoyote ya nje ya nchi?

Yaani kuwa nayo tu kama emergency just In case zali la kwenda nje ya nchi likitokea unakuwa tayari hausumbuki.

Natanguliza shukrani

MÊmENtO HoMO
 
Natumai wote ni wazima kabisa , nimekuja mbele yenu kutaka kujua swala hili kuhusiana na passport.
Je inawezekana kupata passport hata kama huna safari yoyote ya nje ya nchi?
Yaani kuwa nayo tu kama emergency just In case zali la kwenda nje ya nchi likitokea unakuwa tayari hausumbuki .
Natanguliza shukrani

MÊmENtO HoMO
Nawezekana
Kwenye fomu ya maombi kuna sehemu inahitaji kujaza unatarajia kusafiri kwenda wapi na kwa sababu gani, unaweza tu kujaza nchi mbili za jirani kwa biashara. Ukiweza kuwasiliasha mahitaji mengine yote yanayotakiwa unapata passport tena haraka
 
Kwa Tanzania hupati pasport bila ya kuwa na uthibitisho wa kusafiri, ingawa ni haki lakin lazima uwe na dhamira na ushaihidi wa kutaka kusafiri mkuu! Ndio maana kwenye maombi yake utatakiwa kuweka viambata kimoja ikiwa na uthibitisho wa safari.
 
Hivi kubadili kupata hii mpya kuna complications ?
 
Kwa Tanzania hupati pasport bila ya kuwa na uthibitisho wa kusafiri, ingawa ni haki lakin lazima uwe na dhamira na ushaihidi wa kutaka kusafiri mkuu! Ndio maana kwenye maombi yake utatakiwa kuweka viambata kimoja ikiwa na uthibitisho wa safari.
Okay kwa mfano kama mimi nipo jirani na mpaka wa Kenya na tz hapa tarakea rombo. mara nyingi huwa nafanya Mishe Mishe hususan za kilimo je hapo nitaambatanisha nini? Hebu funguka hapa mkuu utanisaidia sana

Hapo sina hakika cha kuweka, nnachojua ni kwamba ukitaka passport lazima uwe na sababu na uthibitisho wa kusafairi mkuu
 
hupati passport bila kuwa na dhumuni/safari

jiandae kwenda na cheti cha kuzaliwa cha mama na bibi yako
 
Natumai wote ni wazima kabisa , nimekuja mbele yenu kutaka kujua swala hili kuhusiana na passport.
Je inawezekana kupata passport hata kama huna safari yoyote ya nje ya nchi?
Yaani kuwa nayo tu kama emergency just In case zali la kwenda nje ya nchi likitokea unakuwa tayari hausumbuki .
Natanguliza shukrani

MÊmENtO HoMO
Una laki 3 hapo nikuletee passport ndani ya siku 2?
 
Back
Top Bottom