Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,450
- 25,593
Hapo kwenye red ni nini hicho ulichoandika. .? Nimekuambia kama unataka majibu anzisha thread nitakuja kukujibu ..au hujui kuanzisha uzi...?Kubali huna majibu unaishi kwa kukalilishwa bila kujifunza.
So what!!!Ndg Mimi ni mkiristo
Kabla hujaanza kuwa msaada kwangu jisaidie kwanza wewe kulijua Neno la Mungu na Historia ya Ukristo....Kwa kifupi wewe ni empty set...Naweza kuwa msaada kwako sipendi watu wapotee
Sasa wewe naona huna hoja bali viroja...., Anza Leo ujifunze bible usikaririshwe vijimaneno vya wasaka faida kwa mgongo wa yesu.
Kama kuandika tu kunakushinda ndio utaweza jadiliana na mimi...???Jifunze Bible kwani zimeandikwa kwa kiswahili lahisi sana.
Hakuna mkristo boya kama wewe, labda ukisema wewe ni msabato nitakuelewa.Kubali huna majibu unaishi kwa kukalilishwa bila kujifunza.
Ndg Mimi ni mkiristo Naweza kuwa msaada kwako sipendi watu wapotee, Anza Leo ujifunze bible usikaririshwe vijimaneno vya wasaka faida kwa mgongo wa yesu.
Jifunze Bible kwani zimeandikwa kwa kiswahili lahisi sana.
Hapo kwenye red ni nini hicho ulichoandika. .? Nimekuambia kama unataka majibu anzisha thread nitakuja kukujibu ..au hujui kuanzisha uzi...?
So what!!!
Kabla hujaanza kuwa msaada kwangu jisaidie kwanza wewe kulijua Neno la Mungu na Historia ya Ukristo....Kwa kifupi wewe ni empty set...
Sasa wewe naona huna hoja bali viroja....
Kama kuandika tu kunakushinda ndio utaweza jadiliana na mimi...???
Wewe nimeshakwambia jukwaa lako ni kule jokes na celebrity....
Umeshindwa hoja lazima uwe kioja!Hapo kwenye red ni nini hicho ulichoandika. .? Nimekuambia kama unataka majibu anzisha thread nitakuja kukujibu ..au hujui kuanzisha uzi...?
So what!!!
Kabla hujaanza kuwa msaada kwangu jisaidie kwanza wewe kulijua Neno la Mungu na Historia ya Ukristo....Kwa kifupi wewe ni empty set...
Sasa wewe naona huna hoja bali viroja....
Kama kuandika tu kunakushinda ndio utaweza jadiliana na mimi...???
Wewe nimeshakwambia jukwaa lako ni kule jokes na celebrity....
Mkiristo ni matendo na imani jaribu kutafakari kwa kauli yako wewe na Mimi nani mkiristo.Hakuna mkristo boya kama wewe, labda ukisema wewe ni msabato nitakuelewa.
Muadventist ww, mana mnasomaga kitabu cha Elen G. White. Mhuni maarufu wa marekani na mwanzilishi wa SDA, ila una ujasiri kweli kumtaja huyu mama, wenzio wakitajiwa tu wanakuwa wapole ghafla. Pole sana mkuuWw ndio unatoa story za vijiweni, hii habari iliandikwa na E.G.wight tafuta kitabu cha huyu mama. Tumaini Kuu
Mkiristo ni matendo na imani jaribu kutafakari kwa kauli yako wewe na Mimi nani mkiristo.
Ulishindwa kujibu hoja ukaanza kufatilia vimakosa vya kiuandishi ili kuonyesha hoja yako ni thabiti.Kweli wewe Mkiristo.....
Anzisha uzi nitakuja kukujibu huko...Hapa ni kubaka uzi wa watu.....Ulishindwa kujibu hoja ukaanza kufatilia vimakosa vya kiuandishi ili kuonyesha hoja yako ni thabiti.
Pole sana siku moja utajua kweli ila inawezekana muda utakuwa umekupa mkono.
Pole Sana nisamehe kama kuna nilicho kukwaza nilikuwa ni kukuelewesha kweli uliyo ikanyaga.
Haaaaa.shemeji upooHii Mada Ni Nzur Sana
Hofu Yangu Badae Nais itakuja Badilika Na kuja Kuwa ya kidin
Acha kukurupuka mkuu hauoni hapo juu kuna pande mbili zinakinzana
Kuna ambao wanataka wafahamishwe kutoka katika biblia wapi walipoandika kuhusu masanamu na hiyo picha /sura ya yesu na upande mwingine unajaribu kukwepa swali na kujificha katika kivuli cha mara maneno ya kijiweni mara bible isingeweza kuandika yote mara yesu alitembea juu maji
Kwa akili zako ndogo unafikiri suluhisho la kumaliza mjadala huo ni nini ?? Na kama cyo kuletwa kwa hapo palipoandikwa kuhusu wanalohoji hao wakuu hapo
Kusema, kwel nimepend unavyowajibu hawa viumbe, ila naww una uhakikaKwa kitu gani...??
,
Mleta mada anataka kujua kama Papa huyo anayemtaja alikuwa na watoto...Sasa hii yako umetolea wapi..?
Aliyekwambia hakuna picha halisi ya Yesu ni nani...? Kabla ya ujuo wa Yesu kulikuwa na Makaisari wa Roma na picha zao zipo iweje ya Yedu ikosekane.....Unafikiri karne hizo kulikuwa hakuna wachoraji mahiri..??
Aliyesema picha za waigizaji zinachukuliwa ni nani...?? Nani hao umeona wanaabudu picha hizo..? Vipi ile picha ya babu yako alifariki huwa unaibudu..?? Kwanini unayo na usiichome moto...?
Nakuuliza tena wewe kizazi cha nyoka ..Nani umeona anaabudu picha...?????
Hapa umeandika kitu gani...??
Uhakika wa kitu gani..??Kusema, kwel nimepend unavyowajibu hawa viumbe, ila naww una uhakika
Hii post ina mwaka sasa ww ndo unajibu leo..Uhakika wa kitu gani..??
Ndo leo naiona...Hii post ina mwaka sasa ww ndo unajibu leo..
Yes ofkoz..I read somewhere kua Cesare Borgia alikua na uhusiano wa kingono na Leornado Da Vinci ( he was a homo)