Naomba kujua kama katiba mpya ipo au haipo

Mchokoo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,179
1,579
Samahani ndugu zangu, hii ni hurka tu ya baadhi yetu wanadamu kuwa; tukianza jambo huwa hatuna amani mpaka tulimalize.
Sisemi hivi kama njia ya kuwadharau wale wengine ambao wao hata wasipomaliza kile walichokianza huwa hawajali kitu!
Ila ni vizuri hata wao wasituzarau sisi tunaojari.
Cha msingi hapa ni ule umuhimu wa jambo lenyewe, je tunaweza kulipuuza?
Tunaweza kujifanya hatuuoni umuhimu wake?
IPO au Haipo?
 
Katiba mpya inapunguza sana madaraka ya Rais. Kwa jinsi ninavyomuona huyu wa sasa...sidhani kama atapenda madaraka yake yapunguzwe. Hivyo swala la katiba mpya limewekwa kapuni mpaka 2025
 
Profesa ndio mdau mkubwa.. alvotoka tu nayo ikafa, hawa wanafki wanaojidai watetea haki na wapnzan wa kwl huwez kuwaskia tena labda atokee mtu alibebe bango ndio nao waombe lift wapande
 
Nikutoe Wasiwasi Mleta Kuhusu Hiyo Katiba Mpya Kuwa Ni Jambo Kama Ule Msemo Wa Popo Namnyea Mungu Kumbe Anajinyea Mwenyewe !
Katiba IlikuwA Nzuri Ila Hakika Mwenyewe Uliona Hata Mtu Ambaye Alipewa Kazi Kwenda Mikoani Yaani Warioba Ameikana Kabisa Hiyo Katiba Pendekezwa.

Je Hali Ya Sasa Unavyoiona Na Ile Katiba Imefanyiwa Hujuma Za Kuichakata Na Kuweka Yao Yanayowalinda
Nadhani Itakuwa Busara Mchakato Ungeanza Upya Kwa Wananchi Hadi Kieleweke
 
Swali lako zuri. Lakini baada ya kupata majibu unatakiwa sasa ujue umhimu wa ukuta. Maana wengi wameamishwa kuwa ukuta ni kwa ajili ya chama fulani
 
Samahani ndugu zangu, hii ni hurka tu ya baadhi yetu wanadamu kuwa; tukianza jambo huwa hatuna amani mpaka tulimalize.
Sisemi hivi kama njia ya kuwadharau wale wengine ambao wao hata wasipomaliza kile walichokianza huwa hawajali kitu!
Ila ni vizuri hata wao wasituzarau sisi tunaojari.
Cha msingi hapa ni ule umuhimu wa jambo lenyewe, je tunaweza kulipuuza?
Tunaweza kujifanya hatuuoni umuhimu wake?
IPO au Haipo?
Hurka - Hulka (adj -asili)
 
Katiba mpya inapunguza sana madaraka ya Rais. Kwa jinsi ninavyomuona huyu wa sasa...sidhani kama atapenda madaraka yake yapunguzwe. Hivyo swala la katiba mpya limewekwa kapuni mpaka 2025
Heko kwa maono.
 
Nikutoe Wasiwasi Mleta Kuhusu Hiyo Katiba Mpya Kuwa Ni Jambo Kama Ule Msemo Wa Popo Namnyea Mungu Kumbe Anajinyea Mwenyewe !
Katiba IlikuwA Nzuri Ila Hakika Mwenyewe Uliona Hata Mtu Ambaye Alipewa Kazi Kwenda Mikoani Yaani Warioba Ameikana Kabisa Hiyo Katiba Pendekezwa.

Je Hali Ya Sasa Unavyoiona Na Ile Katiba Imefanyiwa Hujuma Za Kuichakata Na Kuweka Yao Yanayowalinda
Nadhani Itakuwa Busara Mchakato Ungeanza Upya Kwa Wananchi Hadi Kieleweke
Hakuna katiba mpya, ile ni katiba ya ccm.
 
Back
Top Bottom