Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Mkubwa sasa wewe acha kashfa mbeya tuna tohara za jadi acha zenu za hospital mira tunazingatia tunalelewa kwa maadili hatupungukiwi nguvu za kiume kama watoto dar sisi ni majembe kweli kweli mkuu
Vimwana hauwapendi, watoto wa kinyakyusa na kisafa hawana hiyana mungu alivyowapa bure.Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Utajua tu ukifika,ukihitaji sehemu yenye wanaume six park unishtue!Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Teh teh teh... Nilisikia kule Kuna dini tofauti tofauti zaidi ya 400 !!!Wanyakyusa wanajielewa ...
Wasafwa wajinga wajinga Sana bado wapo kwenye comfort zone..
Maisha yapo chini ila hela haipatikani kirahisi
Baridi sana mwezi wa 6 na 7 na vumbi linalokera ...
Makanisa mengi na wachawi wengi..
Bado Ni vijiji tu kifupi Ni jiji jina.
HahahahaCity park pale Mwanjelwa kuna msosi safi kabisa.
Kitimoto nenda Savoy.
Mafiat kuna bidhaa adhimu kabisa.
Mbeya carnival supu ipo nzuri.
Accomodation popote penye ulinzi mzuri.
That's all.
Mbeya Carnival Hapo Nimepata Huduma SafiCity park pale Mwanjelwa kuna msosi safi kabisa.
Kitimoto nenda Savoy.
Mafiat kuna bidhaa adhimu kabisa.
Mbeya carnival supu ipo nzuri.
Accomodation popote penye ulinzi mzuri.
That's all.
Na wanga wa kutosha [emoji3][emoji3][emoji3]Teh teh teh... Nilisikia kule Kuna dini tofauti tofauti zaidi ya 400 !!!
kila baada ya nyumba tatu kanisa,kila baa imezungukwa na makanisa zaidi ya mawili,siku za jpili mashuleni kila chumba cha darasa ni kanisa,ushirikina upo sanaWakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc