kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Jamani naomba kujua hapa kwetu Tanzania utasikia barabara ya Kenyatta sijui Kwame nkuruma na majina kibao hivi na nchi nyingine kama Kenya nako kuna barabara kama ya Nyerere, Mkapa au Mwinyi?? Msaada tutani tafadhali