Naomba kujua Carina si cc 1762 inatumia lita ngapi kwa km 1

2699

Member
Jun 11, 2015
87
6
Naomba kujua carina si cc 1762 inatumia lita ngapi kwa km 1
Na je inabidi uibadilishie oil baada ya km ngapi?
 
carina si cc 1762 inatumia lita ngapi kwa km 1
Swali liwe: Carina SI, itatumia lita (1) moja kwa km ngapi?
- Inategemea na safari husika
Kwa mji kama DSM waweza tumia lita moja kwa wastani wa 8 - 9km
Ila utakapokuwa kwenye masafa (kwenye Highway mf: MORO to DODOMA) waweza kutumia lita moja kwa wastani wa 11km
 
Ahsante
 
Mkuu si inakula kidogo almost 8kh kwa mjin ila pia inategemeana na way kama hakuna foleni huwa inaongezeka kidogo bt constant 8kM kama sikushauri kama unakimbia wese kuchukua hii u cane take ti! However kwa wanaotumia gx100, alteza kwao wataona si haili sana
 
Swali liwe: Carina SI, itatumia lita (1) moja kwa km ngapi?
- Inategemea na safari husika
Kwa mji kama DSM waweza tumia lita moja kwa wastani wa 8 - 9km
Ila utakapokuwa kwenye masafa (kwenye Highway mf: MORO to DODOMA) waweza kutumia lita moja kwa wastani wa 11km
hiyo carina itakuwa mbovu hata voxy haili futa hivo carina high way 14 na zaid kidogo uhakika
 
Back
Top Bottom