JF ni kisima cha maarifa. Ukiomba mwongozo,ushauri au hata maulizo utapewa stahiki yako. Lakini kama ilivyokawaida kwenye wengi pana mengi pia. Utakutana na ushauri au majibu ya hovyo. Yakupasa kuwa mvumilivu. Chukua cha kukufaa. Takataka nyingine achana nazo.