baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,487
- 2,264
Baada ya kusoma inspiration books mbali mbali za mwandishi robert kiyosaki na maisha na uhalisia wa ajira na peycheck nimeona sitoboi mpaka nijiajir na niinvest ni achane na hizi ajira za kubangaizi bali nitumie ujuzi nilionao .msaada nataka kujua bei halisi ya gari mpya na used 1.kirikuu 2.hilux double cabin na bei ya pikipiki Xl baja nzima na maeneo ya kuzipata kirahisi dar/aŕusha.Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app