Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

Don chul Lingula

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
363
Reaction score
276
Poleni na majukumu,

Ndugu zanguni wana JamiiForums naombeni kujua bei ya alizeti huko mikoani mwenu maana nimeweka alizeti stoo naona mbona inachelewa kupanda.
 
Unayo nyeupe au nyeusi? Weka bei yako na kiasi ulicho nacho. Gari inafika huko?
 
Back
Top Bottom