Naomba kujua alipo mwanaCCM Jerry Silaa

Jerry Slaa, alipata pigo sana hasa kwa kufiwa na Babake mzazi kwenye ile ajali ya helkopter ilomuua Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe. Kumbuka Captain Slaa, alikuwa Babake Jerry Slaa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu aliendelea na kampeni za uchaguzi nahisi aliumia zaidi kukosa ubunge kuliko kufiwa na baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ni muda mrefu huyu kijana wetu hajasikika tangu utawala huu uingie madarakani, nafahamu pia hapo wakati waJK hawakuwa na uhusiano mzuri, tatizo langu ni kwamba hata kama amestaafu siasa basi angalao tungesikia anafanya biashara zake au yupo nje ya nchi n.k., tunaomba anayefahamu atujuze ili tuweke kumbukumbu vizuri

Updates
Wakuu nashukuru kuna mdau ametukumbusha Jerry Silaa: Magufuli acha ubabe! - JamiiForums
Ni Meya aliyevunja rekodi ya kuwadhulumu Mama lishe
 
Back
Top Bottom