Naomba kujua alipo mwanaCCM Jerry Silaa

Huyu yupo Dar Es Salaam, na bado yupo katika "kamati kuu ya wana lumumba" na ni mjumbe wa NEC TAIFA.

Kwasasa anafanya shughuli zake za kibiashara (baadhi alizoachiwa na marehem mzee wake R.I.P Mzee Slaa na zakwake mwenyewe) pamoja na kufanya kazi za lumumba.

Ana akili sana kukaa kimya, angekua muongeaji ongeaji hovyo basi angekua kaishatumbuliwa zaman. Sambamba na kutokubali cheo chochote kama vile ukuu wa mkoa n.k (angejichafulia jina).
Wewe hakuna mwanaccm mwenye kukataa uteuzi Jerry anajua kabisa alitukana mamba bila kujua safari yake kuna mito ya kutosha
 
Kisasi cha jiwe kitakuwa kimeisha au atahamia chama kingine
Hivi huyo jiwe kila mtu alikua na ugomvi naye?Maana kila mtu utasikia kisasi mara chuki. Yaani viongoz wote ambao walikua kwa Jk jiwe anachuki nao?Je ni lazima viongoz wote wa kwa Jk utawala wa jiwe wawe viongoz pia?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hujawahi kumsikia anasema kuna watu walikuwa muda mwingi wapo ulaya kuliko kwa wazazi wao kijijini, au nchi hii imechezewa sana n.k.
 
Kwahiyo anachuki nao?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Huyu yupo Dar Es Salaam, na bado yupo katika "kamati kuu ya wana lumumba" na ni mjumbe wa NEC TAIFA.

Kwasasa anafanya shughuli zake za kibiashara (baadhi alizoachiwa na marehem mzee wake R.I.P Mzee Slaa na zakwake mwenyewe) pamoja na kufanya kazi za lumumba.

Ana akili sana kukaa kimya, angekua muongeaji ongeaji hovyo basi angekua kaishatumbuliwa zaman. Sambamba na kutokubali cheo chochote kama vile ukuu wa mkoa n.k (angejichafulia jina).
Mkuu soma hapa Jerry Silaa: Magufuli acha ubabe! - JamiiForums
 
Back
Top Bottom